Staa wa Movie na Muziki Tanzania Zuwena Mohamed aka “Shilole” anajiandaa kutoka na video ya songi lake linaloitwa ‘Dubu’ ambamo ndani yake ameshirikiana na Q-Chilla.
Kwa mujibu wa habari ambazo tumezipata, tayari kazi ya upigaji picha za video zimekamilika ambapo kampuni ya ‘Kwetu Studio’ ndio iliyohusika kusababisha. Cheki baadhi ya picha za utengenezaji wa video hiyo.
photo credits: This is Diamond
- Shilole
- Shilole akibebwa na Mo Racka
- Shilole akipiga busu na Mo Racka
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !