Headlines News :

Home » , , , » HUYU NDIO TAJIRI WA TZ ALIEINGIA LIST YA MATAJIRI FORBES, HII NDIO PESA ANAYOMILIKI NA ANAYOINGIZA.

HUYU NDIO TAJIRI WA TZ ALIEINGIA LIST YA MATAJIRI FORBES, HII NDIO PESA ANAYOMILIKI NA ANAYOINGIZA.

Written By Unknown on Friday, November 23, 2012 | 2:55 PM


.
Jarida la Forbes ambalo mara nyingi limekua likitoa ripoti za matajiri wa dunia na utajiri wao limesema tajiri wa Tanzania Said salim Bakhresa ambae ameshika namba 30 kati ya matajiri 40 wa Afrika aliacha shule akiwa na umri wa miaka 14 na kuanza kuuza potato mix baada ya hapo akafungua restaurant ndogo lakini leo ameajiri zaidi ya watu elfu mbili kwenye kampuni yake.
Kampuni hii ndio kampuni inayoongoza kwa kutengeneza unga wa ngano Afrika Mashariki na kati ambapo kwa siku inatoa tani 3,200.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Deigned by: Bongo Blog Designers | Bloggerized by | Tryphone Chasama Jr
Proudly powered by Bongo Blog Designers
Copyright © 2011. THINK BIG - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template