
Latest info ni kwamba siku za hivi karibuni baada ya kupata taarifa kwamba soon anatarajia kurusha kipindi chake rasmi katika kituo cha East Africa Television ambacho kinafahamika kwa jina la The Diary of Lady J Dee sasa basi jana alikuwa akikizindua rasmi kipindi chake maeneo ya Nyumbani Lounge pia bila kusahau wadau mbalimbali walitokea kumpa support.












CHANZO : DJ FETTY
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !