Msanii wa
Bongo Fleva hapa nchini almaarufu kama
Rama D anayekubali kwa ngoma zake kali kwa mashabiki wa muziki hapa
Tzee,sasa leo nimepata picha zake ambazo akiwa nchini Australia na
familia yake.
 |
Rama D Akiwa na mtoto wake |
 |
AKIWA UFUKWENI HUKO AUSTRALIA |
 |
Gari anayotumia kutembelea ikiwa imepaki nyumbani kwake |
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !