Headlines News :

Home » , , » AY MWANAFA PAMOJA NA JAY MARTIN KUJA NA NGOMA MPYA

AY MWANAFA PAMOJA NA JAY MARTIN KUJA NA NGOMA MPYA

Written By Unknown on Friday, November 23, 2012 | 2:38 PM


 
AY, msanidi wa tuzo za Channel o 2012 kupitia video bora ya mwana Africa ya mashariki "i dont wanna be lonely", FA na msanii maarufu kutoka Nigeria Jay Martins wana record pinila pamoja huko South Africa.
Jay Martins kashaachia pini kadhaa zilizofanya vizuri kwenye vituo mbali mbali Africa kama Fine fine love na zinginezo . for more info endelea kutembelea  hapa hapa...
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

 
Deigned by: Bongo Blog Designers | Bloggerized by | Tryphone Chasama Jr
Proudly powered by Bongo Blog Designers
Copyright © 2011. THINK BIG - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template